Wasichana kutoka Homa Bay wakosa kuenda shule kutokana na mimba za utotoni na uhaba wa sodo

  • | Citizen TV
    370 views

    Mimba za utotoni, ukosefu wa sodo na vifaa vingine muhimu vya masomo ndizo chanzo cha wasichana wengi katika visiwa mbali mbali kaunti ya Homa-Bay kuwacha masomo. Hali ambayo inasababisha kudorora kwa viwango vya elimu katika visiwa hivi