Wasichana wa shule ya upili ya Lenana katika kaunti ya Trans Nzoia wavumbua sodo maalum

  • | Citizen TV
    654 views

    Wasichana katika shule ya upili ya Lenana eneo la Kiminini, kaunti ya Trans Nzoia, wamevumbua sodo inayotengezwa kwa kutumia maganda ya Miwa. Wasichana hao wanasema uvumbuzi huo unalenga kupunguza gharama ya bidhaa hiyo, pamoja na kukabiliana na uchafuzi wa mazingira.