Wasichana waliojifungua kabla ya kumaliza masomo wapata fursa

  • | BBC Swahili
    389 views
    Taasisi ya Rians Women Empowerment inakusanya wanawake waliojifungua chini ya umri wa miaka 20, na kuwapa stadi za maisha ili waweze kujitegemea. Taasisi hii ilifikia hatua hiyo baada ya kuona kuna wasichana wengi wadogo ambao hawajui hatima ya maisha yao baada ya kujifungua wakiwa na umri mdogo. #bbcswahili #tanzania #wasichana Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw