Wasichana wanamitindo wafanya kampeni kuhusu mila na tamaduni, Kajiado

  • | Citizen TV
    689 views

    Kundi Moja la Wanamitindo kutoka kaunti ya Kajiado limejitwika jukumu la Kueneza ujumbe wa kuwataka wakazi kuendelea kulinda mila na tamaduni wakitumia Sanaa ya Ulimwende kupitisha ujumbe huo.