Wasichana wengi waacha kwenda shuleni wakati wa hedhi

  • | Citizen TV
    120 views

    Usafi wa hedhi miongoni mwa wasichana eneo la kuria bado una changamoto nyingi kwa wasichana wanaokwenda shule hivyo kusababisha baadhi Yao kukosa masomo