Wasichana wengi wadogo wanakeketwa Kajiado huku wanaharakati wakihimiza marekebisho ya sheria

  • | KBC Video
    59 views

    Sasa imebainika kuwa asilimia 10 ya wasichana wa umri wa kati ya miaka saba na 13 wanakeketwa kwa lazima katika kaunti ya Kajiado. Ni kutokana na takwimu hizi za kusikitisha ambapo wanaharakati wanaopinga ukeketaji wanapendekeza kubuniwa kwa mbinu mpya za kukabili ndoa za mapema zinazoaminika kuchochea mila hiyo ya ukeketaji. Joseph Wakhungu na taarifa kamili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive