Wasimamizi wa mazingira mjini Malindi wavamia vilabu

  • | Citizen TV
    199 views

    Wasimamizi wa sheria za mazingira Kaunti ya Kilifi walivamia vilabu katika maeneo ya makazi mjini Malindi ambavyo havifuati sheria ya kudhibiti kelele