Wasimamizi wa shule walazimika kusajili wanafunzi wote

  • | Citizen TV
    215 views

    Walimu wakuu wa shule za sekondari katika kaunti ya Migori wamelazimika kupokea wanafunzi waliopita mtihani wa darasa la nane wenye mahitaji ya karo na bidhaa mbalimbali muhimu za matumizi kama ilivyoratibiwa na Serikali kuu kupitia Wizara ya elimu katika kampeni ya kuzingatia asilimia 100 ya mpito