Wasimamizi wahimizwa kutumia utafiti na ubunifu

  • | KBC Video
    8 views

    Katibu wa elimu ya juu na utafiti, Dr Beatrice Muganda amevitaka vyuo vya umma na vile vya kibinafsi kushirikiana na shirika la kitaifa la ubunifu-KENIA katika juhudi za kuimarisha utafiti na ubunifu. Akiongea mjini Mombasa wakati wa mkutano wa kuhimi mbinu za biashara na ujasiriamali miongoni mwa wakuu wa taasisi, Dr Muganda alisema hatua hiyo itahakikisha udhabiti wa kifedha katika taasisi husika na kuchangia ustawi wa kiuchumi wa nchi hii

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive