- 5,688 viewsDuration: 2:58Hofu imeibuka kuhusu uwezekano wa msongamano katika bandari za kenya, kufuatia mgogoro kati ya marekani, israel na iran. Hii ni baada ya meli mbili kutia nanga katika bandari ya lamu baada ya kushindwa kufika kwenye bandari ya jebel nchini saudi arabia. Mkurugenzi wa bandari kapteni william ruto akisema bandari ya mombasa pia imeshuhudia ongezeko la sheheha zilizoratibiwa kusafirishwa katika milki ya kiarabu. Francis mtalaki anaarifu kutoka mombasa.