Wasiwasi wa Gachagua kuhusu mazungumzo

  • | K24 Video
    289 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua sasa anataka ajenda kuhusu ukaguzi wa uchaguzi wa urais uliopita ,kuondolewa katika meza ya mazungumzo ya Bomas akidai kuwa kamati hiyo inayoongozwa na kalonzo musyoka na kimani ichung'wah haina uwezo wa kuangazia suala hilo ambalo mahakama ya juu ilitoa uamuzi wake ulioidhinisha William Ruto kama mshindi wa urais. Wakizungumza katika kaunti ya Meru rais na naibu wake,aidha pia wamemtaka gavana wa meru kawira mwangaza na naibu wake Isaac Mutuma kuweka kando tofauti zao ili kuwahudumia wananchi.