Wasiwasi wa Wahamiaji na Misimamo Mikali ya Kisiasa Marekani

  • | VOA Swahili
    237 views
    Mzozo wa wahamiaji katika Jiji la New York, ambao ulianza karibu miaka miwili iliyopita kutokana na kufurika kwa Wavenezuela na raia wa nchi nyingine za Amerika Kusini umeshuhudia kuongezeka mara tatu kwa idadi ya wahamiaji kutoka mataifa ya Afrika Magharibi katika mwaka uliopita pekee. Aron Ranen anaripoti kutoka New York City na Sunday Shomari anaisoma ripoti kamili. #mzozo #wahamiaji #newyork #wavenezuela #raia #voa #voaswahili #siasa