Wasiwasi waibuka Kenya kuhusu ubora wa dawa za Ukimwi/HIV

  • | VOA Swahili
    Wasiwasi mkubwa umezuka nchini Kenya kuhusu ubora wa dawa za kupunguza makali ya HIV/Ukimwi baada ya kuzuiliwa bandarini na wizara ya afya kusema huenda zikawa hatarishi kwa binadamu. Originally published at - https://www.voaswahili.com/a/wasiwasi-waibuka-kenya-kuhusu-ubora-wa-dawa-za-ukimwi-hiv/5877193.html