- 23,515 viewsDuration: 1:58Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimepinga ushindi wa Samia Suluhu kama rais kwenye uchaguzi uliokumbwa na utata. Chama hiki sasa kikiiitaka jamii ya kimataifa kuingilia kati huku mashirika zaidi yakikosoa namna uchaguzi huo ulivyoendesha. Muungano wa umoja wa Afrika na ule wa umoja wa Ulaya pia wakikosoa ghasia za baada ya uchaguzi huo.