Wasomi wa Palestina nchini Lebanon washiriki maandamano Sidon

  • | VOA Swahili
    155 views
    Raia wa Palestina nchini Lebanon washiriki maandamano baada ya Sala ya Ijumaa kupinga mashambulizi Gaza na kusimama na Palestina.