Wasomi waanzisha mpango wa kuhamasisha wanafunzi kuhusu kilimo cha vyakula asilia

  • | NTV Video
    44 views

    Wasomi kutoka vyuo vikuu vitano barani Afrika wameanzisha mchakato wa kuwaelimisha wanafunzi wa vyuo vikuu katika bara hili ili kupata ufahamu wa manufaa ya kukuza vyakula asilia mashambani.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya