Skip to main content
Skip to main content

Wataalam wa uchunguzi watwaa vipande vya ndege iliyoanguka Mosop Nandi

  • | Citizen TV
    1,838 views
    Duration: 3:01
    Uchunguzi wa ajali ya ndege iliyowaua watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr Johanna Ng'eno umeanza rasmi huku wachunguzi wakifika eneo la tukio siku ya Jumapili. Wataalam na wachunguzi wa ajali za ndege wamekusanya vifaa na mabaki ya ndege kutoka eneo la tukio.