- 160 viewsDuration: 2:21Mkutano wa 25 wa utafiti wa vyombo vya habari barani Afrika PAMRO, unaowaleta pamoja wataalamu wa vyombo vya habari kutoka bara la Afrika umeanza rasmi. Mkutano huu ukiangazia kwa mapana changamoto zinazoikumba sekta ya habari ikiwemo mabadiliko ya teknolojia, haswa nafasi ya akili unde.