Wataalam wahoji utekelezaji wa Katiba miaka 15 baadaye

  • | Citizen TV
    401 views

    Miaka 15 tangu kuanza kutumika kwa katiba ya sasa, utekelezaji wake umetajwa kuwa tamu chungu huku baadhi ya vipengee muhimu vya katiba vikikosa kuzingatiwa kikamilifu. Baadhi ya wataalam wa katiba na sheria wakitaka maswala kama vile kuhusisha wa wakenya kwenye maamuzi na hata mvutano wa baadhi ya mambo yaliyo wazi kuwa baadhi ya mchecheto unaokumbwa utekelezwaji wa katiba hii ya sasa tangu mwaka wa 2010