Wataalam wasema kuna matibabu maalum ya kutumia kifaa kinachomwezesha mtoto kusikia na kuzungumza

  • | KBC Video
    14 views

    Wazazi wengi wa watoto wanaogunduliwa kuwa na matatizo ya kusikia hujikuta katika hali ya kutojua la kufanya ili kuwalea watoto wao vyema.Huku wengi wakijipata wametengwa na kutafuta usaidizi mdogo, wataalam na wazazi waliokubali hali ya watoto wao wanasema kuna matibabu maalum ya kutumia kifaa kinachomwezesha mtoto kusikia na kuzungumza ili aweze kuishi maisha ya kawaida.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #hearingimpairment #darubiniwikendi