17 Mar 2026 10:51 am | Citizen TV 160 views Duration: 2:48 Wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi katika kaunti ya Samburu, wamewahimiza wafugaji na wakazi kukumbatia mbinu ya kuhifadhi maji, li kufanikisha azma ya kilimo cha unyunyuziaji maji mashamba haswa katika msimu huu wa mvua.