Wataalamu wasema asilimia 23 ya watu wanaofanya kazi ofisini wanatumia vileo

  • | K24 Video
    54 views

    Janga la korona liliibua tatizo kubwa la afya ya akili kwa wakenya wengi. Wataalamu wamesema asilimia 23 ya watu wanaofanya kazi ofisini wanatumia vileo kama njia moja ya kukabiliana na msongo wa mawazo, na hivyo ipo haja kwa serikali hasa wizara ya afya kuwekeza zaidi katika afya ya akili ili kuwawezesha wakenya kuendesha shughuli zao wakiwa bukheri wa afya.