Watabiri wasema mvua ya El Nino haitakuwa kubwa

  • | Citizen TV
    3,661 views

    Idara ya Utabiri wa hali ya anga sasa inasema mvua ya elnino inayotarajiwa nchini haitakuwa kubwa kama ilivyotabiriwa hapo awali. Hata hivyo, serikali kuu na zile za kaunti zimetakiwa kuendelea kujiandaa kwa athari za mvua hii. Utabiri wa hali ya anga wa mwezo Oktoba ukionyesha kuwa, mvua hii inatarajiwa kuanza katika majuma mawili yajayo hadi mwezi Disemba