Watafiti waelezea faida za mazoezi kwa afya ya Binaadamu

  • | VOA Swahili
    94 views
    Watafiti wanasema dakika chache tu za mazoezi ya kawaida yana manufaa makubwa kwa moyo kwa watu walio na maisha ya kukaa tu. Wanasema kutembea kwa haraka kila siku takriban kwa dakika 20 ikifuatiwa na kujinyoosha viungo nyumbani kunaweza kusaidia kudhibiti afya ya moyo na mwili. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.