Watahiniwa 2,060 wapata chini ya alama 100 katika matokeo ya KCPE mwaka huu

  • | K24 Video
    27 views

    Watahiniwa 2,060 walipata chini ya alama 100 katika matokeo ya KCPE mwaka huu huku watahiniwa wa kike wakiandikisha matokeo bora zaidi kuliko wenzao wa kiume.Wasichana walifanya vyemza zaidi katika masomo ya Kiswahili, Kiingereza na lugha ya ishara. Wavulana waling’aa katika masomo ya hisabati na sayansi.