Watahiniwa 965,501 wanafanya mtihani wa KCSE nchini

  • | Citizen TV
    358 views

    Mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne KCSE uling'oa nanga rasmi kote nchini huku wanafunzi zaidi ya laki tisa unusu wakifanya mtihani huo. Waziri wa elimu Julius Migos akizungumza wakati wa kuanza kwa mtihani huu amesema kuwa kwa mara ya kwanza, majina ya watahiniwa yamechapishwa kwenye karatasi za mitihani huku pia wasimamizi wakizuiliwa kuingia na simu kwenye vyumba vya mitihani.