Watahiniwa milioni 2.6 kuanza mitihani ya kitaifa ya darasa la nane na gredi ya sita hapo kesho

  • | KBC Video
    16 views

    Mitihani ya kitaifa ya tathmini ya elimu ya shule za msingi ‘KPSEA’ na mtihani wa darasa la nane ‘KCPE’ itaanza hapo kesho. Watahiniwa wanaofanya mitihani hiyo wataanza kwa mtihani wa hisabati asubuhi na Kiingereza adhuhuri. Na kama anavyoripoti Fredrick Parsayo wanafunzi milioni 3,604,972 wanatahiniwa mwaka huu ikilinganishwa na watahiniwa takriban milioni 3.5 mwaka jana

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini #kbclive