Watahiniwa pacha wapata alama sawa katika mtihani KCPE

  • | K24 Video
    332 views

    Huku shamra nshamra za matokeo ya mtihani wa KCPE zikiendelea katika shule mbalimbali nchini, siku moja tu baada ya kutolewa kwa matokeo hayo, shule moja iliyoko eneo la umoja jijini Nairobi ina simulizi tofauti. katika shule hiyo ya msingi ya freedom kuna watahiniwa pacha waliopata alama sawa. Pacha hao Gladys Nyambura na Mercy Wamaitha walipata alama 364 kila mmoja .