Watahiniwa wa KCSE wawasilishiwa chakula eneo la Matuga

  • | Citizen TV
    437 views

    Jumla ya shule 23 za sekondari za kutwa katika eneo bunge la Matuga kaunti ya Kwale zimepokea chakula kitakachotumika na wanafunzi wakati huu wa mtihani wa KCSE