Watahiniwa wa kike 1,000 wapata mafunzo Homa Bay

  • | Citizen TV
    152 views

    Zaidi ya watahiniwa wa kike elfu moja kutoka shule mbalimbali katika eneo bunge la Suna Kaskazini kaunti ya Homa Bay wanapata mafunzo na ushauri nasaha kutoka kwa wadau mbalimbali wa elimu na afya ili kuwatayarisha kufanya mitihani ya kitaifa itakayoanza mwisho wa mwezi ujao.