Watahiniwa waliokamilisha KCPE wapata ushauri nasaha

  • | Citizen TV
    204 views

    Huku watahiniwa wa darasa la nane wakikamilisha mitihani yao na kusubiri matokeo ili kujiunga na shule za sekondari, katika kaunti ya nakuru watahiniwa zaidi ya elfu mbili hii wameandaliwa kikao cha kupata ushauri nasaha likizo ndefu inapoanza. kikao hicho kinanuiwa kuwasaidia kujiepusha na maovu katika jamii.