Watahiniwa wapokea mafunzo ya ziada eneo la Mvita, Mombasa

  • | Citizen TV
    Watahiniwa kutoka shule za eneo bunge la Mvita kaunti ya Mombasa wameanza mpango wa maandalizi ya mitihani ya kitaifa ili kunoa makali yao. Shule 11 zimeanza masomo hayo yanayolenga kuboresha elimu matokeo baada ya kipindi cha miezi tisa ya bila masomo kutokana na janga la COVID-19.