Watakaopata fedha za kaunti ya Trans Nzoia kupewa kandarasi ya kazi ya serikali hiyo

  • | West TV
    78 views
    Vikundi mia mbili hamsini katika kaunti ya trans nzoia vimenufaika na shillingi millioni themanini za mpango wa nawiri ili kuwawezesha kupiga jeki biashara zao hali inayolenga kuinua maisha yao na kuimarisha uchumi wa kaunti hiyo