Watalaamu kuendeleza kampeni ya uhamasisho kuhusu lishe bora kwa kina mama na watoto

  • | KBC Video
    10 views

    Taasisi ya watalaamu wa lishe bora hapa nchini imesema itashirikiana na serikali ya kitaifa, na zile za kaunti kuendeleza kampeni ya uhamasisho kuhusu lishe bora kwa kina mama na watoto.Afisa mkuu mtendaji wa taasisi hiyo DR .David Okeyo amesema taasisi hiyo imeazimia kushirikiana na ofisi ya mama taifa ,kuendeleza kampeni hiyo ,pamoja na wake wa magavana kaunti zote 47.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #DiraYaMagwiji #nutrition