Watalaamu wa maswala ya mazingira wasema miti aina ya mianzi ina zaidi ya manufaa 10,000

  • | Citizen TV
    63 views

    Miti aina ya mianzi au amboo ina manufaa zaidi ya wanavyofahamu wengi. Watalaamu wa maswala ya mazingira wakisema mti huo una zaidi ya manufaa 10,000.