Skip to main content
Skip to main content

Watalii wa ndani waimarisha shughuli za biashara za hoteli eneo la pwani

  • | KBC Video
    381 views
    Duration: 2:39
    Watalii wa humu nchini wameimarisha shughuli za biashara katika eneo la pwani. Wamiliki wa hoteli wanahusisha ongezeko la shughuli za utalii na kuongezeka kwa huduma ya treni ya abiria ya Madaraka Express, safari za mara kwa mara za ndege na kuanzishwa kwa matumizi ya reli ya Mariakani inayounganisha katikati ya jiji la Mombasa hali ambayo imerahisisha usafiri. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive