Watangazaji wa BaharI Fm waungana na wajane kaloleni

  • | Citizen TV
    224 views

    Bahari fm iliungana na maelfu ya wajane katika kusherehekea sikukuu ya wajane ulimwenguni katika eneo la kaloleni kaunti ya kilifi. Hafla ambayo iliwaleta viongozi kutoka Nyanja mbali mbali nchini akiwemo mbunge wa rarieda Otiende Amollo ambaye amekuwa katika mstari wa mbele katika kuwajengea nyumba wajane huku akiahidi kupeleka mswada bungeni utakaotetea maslahi yao