Watangazaji wa Egesa FM wahamasisha wakaazi wa Nyamira

  • | Citizen TV
    351 views

    Uhamasisho Wa Egesa Fm:

    Watangazaji wa Egesa Fm wahamasisha wakazi Nyamira

    Vijana washauriwa kukumbatia elimu ya kiufundi

    Elimu ya kiufundi kuwasaidia kuboresha ujuzi wao

    Chuo Kikuu cha Nyamira, Credo Faster, Stima sScco zashirikiana