Watangazaji wa Egesa fm wakutana na mashabiki Keumbu

  • | Citizen TV
    198 views

    Watangazaji wa Stesheni ya redio ya Egesa FM kwa ushirikiano na washikadau wengine wamekita kambi eneo la Keumbu Nyaribari Chache huko Kisii kwa sherehe ya Matoke. Katika sherehe hiyo inayoadhimishwa kila mwaka, wenyeji wanahusishwa kwenye upishi wa matoke.