Watangazaji wa Mwago FM watangamana na mashabiki eneo la Tharaka Nithi

  • | KBC Video
    8 views

    Watangazaji wa Kituo cha radio cha Mwago FM kinachomilikiwa na shirika la utangazaji la Kenya KBC, ambacho hupeperusha matangazo yake kwa lunga ya Kimeru, waliweza kutangamana na mashabaki wao katika hafla ya burudani, jana usiku na kuwaahidi mashambiki hado, vipindi na matangazo kemkem.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #MwagoFM #News