Watangazaji wa Royal Media waungana na wakaazi wa Soy kwa ibaada ya jumapili

  • | Citizen TV
    132 views

    Kampuni ya Royal Media Services imetamatisha ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Uasin Gishu kwa ibada ya Jumapili. Watangazaji wa Radio Citizen waliungana na waumini mjini Soy kwa ibada hiyo ya kipekee huku hapa Nairobi, mashabiki wa nyimbo za injili walitumbuizwa na mwanamuziki wa kimataifa Cece Winans