- 292 viewsDuration: 2:09Kampuni ya Royal Media Services imetamatisha ziara ya siku tatu katika Kaunti ya Uasin Gishu kwa ibada ya Jumapili. Watangazaji wa Radio Citizen waliungana na waumini mjini Soy kwa ibada hiyo ya kipekee huku hapa Nairobi, mashabiki wa nyimbo za injili walitumbuizwa na mwanamuziki wa kimataifa Cece Winans