Watanzania wawili hawajulikani walipo katika eneo la mashambulizi Israel

  • | BBC Swahili
    2,602 views
    ”Tunaendelea kuwafuatilia watanzania wawili ambao ni wanafunzi waliokuwa wanafanya mafunzo kwa vitendo kusini mwa nchi Israel. - Balozi wa Tanzania Israel #bbcswahili #tanzania #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw