Watayarishaji wa “Blood Parliament” waachiliwa baada ya kuzuiliwa na polisi

  • | NTV Video
    68 views

    Vijana wanne watayarishaji wa filamu, waliokuwa wamezuiliwa na polisi kwa tuhuma ya kuhusika na makala ya uchunguzi ya “Blood Parliament” ya BBC wameachiliwa huru leo baada ya kuzuiliwa saa 24 katika vituo tofauti vya polisi jijini Nairobi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya