Watengeneza Filamu wa Nigeria Wana matumaini Baada ya Mauzo ya Tiketi Kupanda sana

  • | VOA Swahili
    39 views
    Sekta ya filamu ya Nigeria, aghlabu hujulikana kama Nollywood, ni watengenezaji wakubwa wa pili wa filamu ulimwenguni kwa kipimo cha wingi wa filamu hizo na inapiga hatua kwa vyote viwili Sanaa na umaarufu katika mauzo ya tiketi. Timothy Obiezu anaripoti kutoka Abuja.⁣ ⁣ Mtengenezaji filamu wa Nigeria Paul Cast anafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kutoa filamu yake ya hivi karibuni – “Just the Two of Us.” Mradi huo unatarajiwa kuingia sokoni Aprili na Cast anasema ana matumaini itapata umarufu mkubwa.⁣ ⁣ Hadithi hiyo ilikuwa hasa kuhusu familia moja ⁣ na jinsi walivyoweza kufikia safari yao, iliyokuwa⁣ ya raha na tabu – hasa wakijaribu kuonyesha ⁣ jitihada mbalimbali ambazo hujitokeza wakati ⁣ watu wanapokuwa katika mahusiano.⁣ ⁣ #nigeria #nollywood #bollywood #voa