Watengenezaji filamu wanne waliokamatwa na polisi waachiliwa huru

  • | Citizen TV
    1,235 views

    Uhuru Wa Wanafilamu Watengenezaji Filamu Wanne Waachiliwa Huru Polisi Waliwakamata Ijumaa Katika Afisi Zao Wanne Hao Wanatuhumiwa Kwa Kuchapisha Uongo Polisi Pia Walitwaa Ala Za Kazi Za Wanne Hao Mashirika Mbalimbali Yakashifu Kukamatwa Kwao