Watetezi wa haki za kibinaadamu walalamika Mombasa

  • | Citizen TV
    3,127 views

    Mashirika ya kutetea haki za kaunti ya Mombasa wameshtumu kukamatwa kwa baadhi ya wanaharakati katika kaunti za Mombasa, Nairobi, Nyandarua na Kisumu.