Wathiriwa wa ghasia za uchaguzimwaka wa 2017 waendelea kudai haki yao

  • | Citizen TV
    204 views

    Wathiriwa wa ghasia za uchaguzi zilizozuka baada ya tume huru ya uchaguzi na mipaka (IEBC) kumtangaza Uhuru Kenyatta kuwa mshindi wa uchaguzi bado wanataka haki ifanywe na pia kufidiwa.