Watoto 2000 nchini huzaliwa na miguu iliyopinda

  • | K24 Video
    20 views

    Angalau watoto 2000 nchini huzaliwa na miguu iliyopinda, almaarufu clubfoot, hali ambayo mtoto huzaliwa akiwa na mguu mmoja au yote ikiwa imepinda. Japokuwa clubfoot inaweza kusahihishwa bila malipo katika hospitali za umma nchini, iwapo haitarekebishwa mapema, watoto hao huweza kuishi na matatizo chungu nzJima.makala haya yanaangazia upasuaji wa kurekebisha mdomo na miguu iliyopinda