Watoto 3 wa familia moja waanguka kwenye bwawa Narok

  • | Citizen TV
    Familia moja katika kaunti ya Narok inaomboleza baada ya watoto wao watatu kufarikiwalipouanguka ndani ya bwawa la maji lenye kina cha futi sita. Inadaiwa kwamba watatu hao walikuwa katika shughuli za kufua wakati kisa hicho kilipotokea.